Hii computer vipi jamani...!

Mulangila Mukuru

JF-Expert Member
Feb 24, 2010
1,945
724
Ndugu zangu nina ka Pc kangu kalikuwa kanafanya kazi vizuri lkn hivi karibuni kameanza kunisumbua kwenye typing yaani ukiwa unabonyeza keyboard maneno yanachelewa kutokea kwenye monitor yaani mpaka ubonyeze kwa nguvu sana ndo yanatokea, nimenunua keyboard mpya jana tatizo likawa palepale nifanyeje wazee msaada wenu plz!
 
Huenda Machine ina tatizo pia, ni vizuri ukianinisha speed ya machine, memory yake na operating software inayotumia. lakini pia ukiingia kwa Control Panel then keyboard settings jaribu kucheck speed inawezekana haipo ktk default settings.
 
Ndugu zangu nina ka Pc kangu kalikuwa kanafanya kazi vizuri lkn hivi karibuni kameanza kunisumbua kwenye typing yaani ukiwa unabonyeza keyboard maneno yanachelewa kutokea kwenye monitor yaani mpaka ubonyeze kwa nguvu sana ndo yanatokea, nimenunua keyboard mpya jana tatizo likawa palepale nifanyeje wazee msaada wenu plz!

Angalia clutch ya keyboard kama haijakata center bolt

:smile-big:
:smile-big::smile-big: joke

Fanyahivi taja specification za pc yako ina RAM kiasi gani na uwezo wa CPU kiasi gani.

Nadhani ni memory (RAM) imezidiwa baada ya pc yako kuwa na moprgram mengi. kwa hiyo eleza una pro gani na RAM kiasi gani. Au jaribu kuongeza memory kama ka pc ako kana chini ya 512

Vile vile cheki na four Wheel drive kama inafanya kazi
:smile-big::smile-big::smile-big:
 
hapa ninapata shida kidogo, ukitype maandishi yanachelewa kutokea, na ukibonyeza kwa nguvu yanachelewa pia? coz umesema ukibonyeza kwa nguvu yanatokea!!
 
Yaani ni kwamba ukibonyeza keyboard wakati wa kutype maandishi mpaka ukandamize kwa nguvu hiyo herufi ndipo inatokea kwenye screen(monitor) lkn ukibonyeza kawaida hakutokei kitu hii ni wakati wakutype chochote kile na speed ya keyboard nimeiset High na PC ina 512MB
 
Angalia clutch ya keyboard kama haijakata center bolt

:smile-big:
:smile-big::smile-big: joke

Fanyahivi taja specification za pc yako ina RAM kiasi gani na uwezo wa CPU kiasi gani.

Nadhani ni memory (RAM) imezidiwa baada ya pc yako kuwa na moprgram mengi. kwa hiyo eleza una pro gani na RAM kiasi gani. Au jaribu kuongeza memory kama ka pc ako kana chini ya 512

Vile vile cheki na four Wheel drive kama inafanya kazi
:smile-big::smile-big::smile-big:

Haya kaka ngoja nijaribu nikifanikiwa ntakugongea salute maana imenibidi nitumie keyboad ya keny screen inaniboa c mchezo
 
hapo kuna program ina run computer inakuwa slow nenda kwenye safemode halafu ujari ku type uone kama kuna mabadiliko
 
Hii safe mode inakuwaje hebu nipe kwa urefu kidogo ili nijaribu sijakupata vizuri

Unataka kutatua tatizo kwa njia za sheikh yahya. Hujasema CPU yako uwezo wake ukoje. hujasema memry ya hiyo komputer ni kiasi gani.
 
Hi, Ukichemsha KABISA,Just fanya BACKUP halafu fanya new installation ya Windows. Hakikisha huweki Program nzito,hakikisha antivirus ipo na isiwe aina ya zile zinazoslow down computer.Enjoy tena computer yako! Sitegemei kusikia na hapo umeshindwa!
 
Processor-Intel(R)Pentium4 CPU 2.80 GHz 2.81GHz
Installed memory-(RAM) 512MB(480MB usable)
system type-32-bit oparating systems
Pen and Touch-no pen or touch input is available for this display
 
Aisee hii computer uliunda mwenyewe?? sioni balansi yeyote ya pc yenye CPU 2.80 GHz kuwa na RAM 512.

Kama nilivyokumbia fanya
kuongeza RAM iwe japo I GB ambayo ni 1024 MB

Au stopisha program usiztoztumia sana sana ku start automatcaly na kutumia memory back ground. eg yahoo messenger
 
Kuna uwezekano kuwa hilo ndiyo tatizo lenyewe, na kwasababu
processor yako ni hyper threading ni dhahiri tatizo liko kwenye
memory. Jaribu kuongeza memory na mambo yatakuwa poa.
 
Hii nimecopy na ku paste kwenye Properties za PC Cjaongeza kitu mkuu ht hivyo nashukuru kwa ushauri wako nitauzingatia.
 
Kuna uwezekano kuwa hilo ndiyo tatizo lenyewe, na kwasababu
processor yako ni hyper threading ni dhahiri tatizo liko kwenye
memory. Jaribu kuongeza memory na mambo yatakuwa poa.

Asante kwa ushauri mzuri mkuu ngoja nizichangishe nifanye hivyo hizi computer za kununua mtaani ni noma.
 
Hi, Ukichemsha KABISA,Just fanya BACKUP halafu fanya new installation ya Windows. Hakikisha huweki Program nzito,hakikisha antivirus ipo na isiwe aina ya zile zinazoslow down computer.Enjoy tena computer yako! Sitegemei kusikia na hapo umeshindwa!

njia yako imenisaidia sn mkuu nimerudisha win xp yangu naona hii win 7 ilikuwa ni tatizo thanx:happy:
 
Tatizo sio Windows 7 tatizo utakiwa kusoma specifcation na requirement ya software kabla ya kuinstall.

Minimum requiremntya windows 7 ifanye kazi vizuri inataka uwe na RAM ya IGB kama alivyosema jamaaa hapo juu Soma hapa Windows 7 system requirements - Microsoft Windows

Sasa wewe una 512. MB. kwa hiyo tatizo halikuwa Windows 7 tatizo ni mashine yako kutokidhi viwango wa window 7. . Kwa hiyo OS ilikula memory yote na haikuacha nafasi ya memory kwa software nyingine..

Ukitaka windows 7 ongeza memory.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom