Hii company inayoitwa RELEN CONSULTANTS CO LTD kweli inahusiana na ajira

mwalunyungu

Member
Feb 1, 2014
67
23
Nilituma maombi ya kazi katika kampuni hii ya RELEN CONSULTANTS CO LTD wameniita kwenye usaili lakini wanataka nitume 22,000/= kabla ya cku ya usaili kama ada ya usaili vipi imekaaje hii wadau
 
Hakuna mwajiri yoyote anayetaka utoe hela ndipo uitwe kwenye usaili .Hao ni matapeli tu kama wamekutumia email wajibu palepale kuwa wewe sio mshamba wa kutapeliwa kizamani hivyo
 
Back
Top Bottom