Hili ni taifa la mabaharia, Kigwangala mwenyewe amerudi kundini, mwanzo alikuwa baharia, akajivua uanachama, juzi hapa kaomba msamaha na kapewa kadi ya mpya ya ubaharia.
Kwahiyo Code ya taifa labda iwe ile kule pembeni jamaa aliyevaa shati kali, raba kali na jeans. Maana mabaharia ndiyo mwonekano wao huo.