Hili ni taifa la mabaharia, Kigwangala mwenyewe amerudi kundini, mwanzo alikuwa baharia, akajivua uanachama, juzi hapa kaomba msamaha na kapewa kadi ya mpya ya ubaharia.
Kwahiyo Code ya taifa labda iwe ile kule pembeni jamaa aliyevaa shati kali, raba kali na jeans. Maana mabaharia ndiyo mwonekano wao huo.
Ngoja nikutafutie trace back ya kaunda suit Ni vazi la ki Chinese au ngoja nikuwekee hii picha ya mwalimu maana ndio walio leta kaunda suit
Ninavyojua Mimi huko Communist hawaweki cola Kama hapa bongo... Nimefanya uchunguzi nimeona Kama huu mtindo Ni fahari ya taifa letu sijui lakini ndio Mana nimeleta hapa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.