Fantastic Beast
Member
- Feb 18, 2019
- 50
- 532
Mama Samia tunaomba umsikie na kumsikiliza Mwanamke mwenzio ambaye siyo mwanasiasa na haishi hapa nchini, ameyaongea haya bila double standard hata chembe.
Usikimbilie kusema "Watu wa Dar kitu kidogo tuu wanalalamika", mpaka sasa viatu vya Magufuli hujaweza hata kuvishika, acha tuu kuvijaribisha. 2025 upinzani hata ukimsimamisha nyangarika yeyote yule anaweza akakushinda vibaya sana.
Hayo yote sababu mtaani hali ni mbaya, na Januari iko njiani.