Hii Clip imfikie Rais Samia, ukweli mchungu ambao waliomzunguka hawataki ausikie

Damage gani aliyofanya trump!?
Ndio maana trump aliwaambia shit hole country trump ni bilionea na anajua mengi kwenye uchumi kuliko hao maraisi wengi ikiwemo huyo obama huwezi mlinganisha na obama.
Soma hayo mabano kabla hujareply.... I've never been anti Trump
 
Hii katiba ya sasa yenyewe huijui unataka mpya.

Raisi anashitakiwa akifanya kosa la jinai tofauti na majukumu yake ya uraisi.
Hapana sio kweli, akiua watasema ni sababu za kiusalama akiiba watajuaje ilihali mfuko wa Rais hauruhusiwi kufanyiwa auditing, akifanya maamuzi mabaya katiba inamlinda kuwa hatokua liable kwa kukataa ushauri au kusababisha madhara kwa kukataa ushauri huo.

There's no way uta substantiate makosa ya Rais eti jinai maana hakuna means za kufanya hivyo. Huwezi sema jinai alafu muda huo huo una block bunge kumjadili otherwise linavunjwa..... Muda huo una block CAG kukagua mafungu ya ikulu!! Hiyo jinai utaigunduaje?
 
Hapana sio kweli, akiua watasema ni sababu za kiusalama akiiba watajuaje ilihali mfuko wa Rais hauruhusiwi kufanyiwa auditing, akifanya maamuzi mabaya katiba inamlinda kuwa hatokua liable kwa kukataa ushauri au kusababisha madhara kwa kukataa ushauri huo.

There's no way uta substantiate makosa ya Rais eti jinai maana hakuna means za kufanya hivyo. Huwezi sema jinai alafu muda huo huo una block bunge kumjadili otherwise linavunjwa..... Muda huo una block CAG kukagua mafungu ya ikulu!! Hiyo jinai utaigunduaje?
Hujaelewa nilichokiandika soma tena
 
Acha cherry picking mkuu ndio maana nimesema ukichukua nchi 50 za democracy na 50 za authoritarian tofauti ya kimaendeleo ni kubwa sana. Accountability hamna kabisa kwenye nchi za Kiimla!!

Hao waarab Wana Hela sababu ya mafuta sio uongozi Wala udikteta.... Ila kwenye nchi zisizo na resource advantage unadhani udikteta unaweza leta maendeleo? Hao Cuba mbona maisha magumu sana usingeitolea mfano hata.
Nchi gani ya demokrasia africa asia na latin america iliyoendelea!?
Kuzidi hizo china, urusi, Rusia, Iran!?
 
Ana hoja ila ameharibu hapo anaposema suluhisho ni Rais mwanaume!! Wanaume wenyewe ndio hao kina Nape unategemea mabadiliko Gani?

Agenda ingekua Katiba mpya ndio maana Kenya Rais Kenyatta alikua mdhaifu ila mahakama na bunge ilikua inanyoosha mafisadi!! Hii kutegemea mtu mmoja ndio afanye Kila kitu naona tunarudi kule kule tu.

Kenya imenyoosha mafisadi 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Huyo mama kwenye clip kaongea pumba. Yes changamoto zipo ila tatizo sio rais kuwa mwanamke na solution sio rais mwanaume. Kaongea pumba.
 
Na wewe mtoa mada nirudi kwenye mchango wako,Kipi hasa Cha Maana ambacho Magufuli alifanya kikakufaidisha wewe binafsi achilia mbali blaa blaa zingine?

Maana katika Rais wa hivyo Ni Magufuli alikuwa failure kwenye Kila kitu kuanzia Uchumi Hadi huduma za jamii..

Swala la maisha ya Mtaani kuwa Magumu kwani hujui Ni global issue?

Labda nikuulize Vyuma kukaza ilikuwa inatamkwa wakati gani? Watu kufungua biashara na kukimbia ilikuwa Ni awamu gani? Vipi saizi hizo lights zinasikika? Unasikia watu wakilalamika kuporwa Pesa na TRA au kufungua biashara?

Umesikia ajira hazitoki Kama awamu ile iliyokuwa imeshindwa kuleta Mambo sawa na kusingizia mabeberu na excuses zingine za kujenga bwawa,reli na blaa blaa kibao?

Kinachoonekana hapa Ni shida za kisaikolojia na mfumo dume nothing else..

Mwisho Mimi ukiniambia nifanye rating naona Rais Samia ndio amefanya vizuri zaidi kuliko Marais wote niliowahi kuona wanaongoza..ukitaka sababu nitakueleza.
Mlamba asali katika ubora wako
 
Yes changamoto zipo ila tatizo sio rais kuwa mwanamke na solution sio rais mwanaume.
Yuko sahihi, kwa uwezo wa upeo wake wa kutafakari na kuchakata maswala kadha wa kadha, Hivyo mawozo yake tuyaheshimu
 
Yuko sahihi, kwa uwezo wa upeo wake wa kutafakari na kuchakata maswala kadha wa kadha, Hivyo mawozo yake tuyaheshimu

Uwezo wake wa kufikiri una walakini. Kaongea pumba afu kwa kujiamini kabisa.
 
Laiti CCM ingekuwa inategemea kura zilizopigwa, tayari i gekuwa ilishasahaulika zamani.

CCM ni chama Dikteta, hakipo kwa sababu ya matakwa ya umma.
 
Hapana kama Rais ni fisadi ila jaji mkuu ni mzalendo then trust me hakuna mwizi ata survive. Hata bunge likiwa huru linaweza tumia ripoti ya CAG kuwafurusha mafisadi wote serikalini.

Ona USA Trump walimuona kama kichaa ila hakuleta damage sana maana alikua anabanwa na Congress, mara Federal Justice system inamuwekea zuio n.k so ni muhimu kuwa na independent institutions kwa ajili ya uwajibikaji
Kwani unadhani kuwa sikubaliani na wewe juu ya haya? Ninakubaliana nawe sana, lakini uwezekano wa kupata uwiano wa namna hiyo ni bahati iliyoje hiyo; hasa katika nchi zetu hizi.
 
Mama Samia tunaomba umsikie na kumsikiliza Mwanamke mwenzio ambaye siyo mwanasiasa na haishi hapa nchini, ameyaongea haya bila double standard hata chembe.

Usikimbilie kusema "Watu wa Dar kitu kidogo tuu wanalalamika", mpaka sasa viatu vya Magufuli hujaweza hata kuvishika, acha tuu kuvijaribisha. 2025 upinzani hata ukimsimamisha nyangarika yeyote yule anaweza akakushinda vibaya sana.

Hayo yote sababu mtaani hali ni mbaya, na Januari iko njiani.

View attachment 2417815
Yaani hii clip ukiniambia nikutajie ni nani aliye humu jukwaani aliyemtuma huyu muongeaji kubwabwaja maneno haya, nakutajia. Huyu ametumwa, siyo yeye.

Tatizo analoogelea hapa linawaponda zaidi waTanzania ikiwa ni pamoja na yeye mwenyewe. Tuseme kwa mfano, hili swala la watu kung'oa minyororo ya barabani, hilo nalo linamhitaji Rais wa Nchi pia? Mtu mwenye akili timamu anahitaji kuelekezwa kipi katika hili?

Halafu watu kila siku wanabwabwaja wanahitaji Katiba mpya; hapana tunahitaji DISCIPLINE mpya. Tukishakuwa na discipline mpya, katiba hii tuliyonayo sasa ni mpya mno pengine kuzidi hata hiyo ambayo watu wamekuwa wakiililia siku zote.

Wewe mtu una akili timamu, mpaka umuone Polisi ndiyo ujue kuwa kung,oa mnyororo wa kinga za bustani za barabarabi ni tatizo.? Na Rais anahusikaje katika hili?
 
Back
Top Bottom