Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 58,981
- 103,354
Magu alikuwa na mapungufu yake Sawa Ila kwenye uongozi na uajibikaji alikuwa best
Ishu ya ajali ya ndege ingekuwa ni wakati wa magu watu wengi wangetumbuliwa
Miaka yote ya magu hakukuwa na mambo ya shida ya maji na umeme sijui alifanyaje but kuna Jambo la kujifunza
Yes magu hakusafiri na serikali ilikata Sana Safari zake but vitu vimeonekana , Nani alitegemea daraja la ubungo na tazara ?
Viko kwenye makaratasi miaka 30 back but yy alidhubutu kufanya
Angalia road ya Kimara ilivyo tamu,
Magu bwana pamoja na ubaya wake but uzuri wake unafunika mabaya yake
Mmhhh sifa nyingine bana. Ajali ya gari la mafuta hapo Msamvu ilitokea na kuua watu kibao. Majaliwa kama kawaida yake akaunda tume hadi leo taarifa yake haikutolewa. Mbona Magufuli hakumtumbua yoyote? Tena yeye ndio alichangia hata watu wakafia hapa Muhimili kwa kulazimisha eti watibiwe kwenye hospitali zetu kwa kigezo cha uzalendo. Wahanga wa moto ule wangepelekwa Nairobi hapo wengi sana wangepona, au wangekuja madaktari toka nje bado wangepona wengi.
Kivuko cha ukara hapo kiliua watu kibao,je walitumbuliwa watu wangapi? Hata kuaga miili ya wahanga yenyewe hakwenda.