Hii Clip imfikie Rais Samia, ukweli mchungu ambao waliomzunguka hawataki ausikie

Nimesikiliza kwa kiasi ila huyo mwanamama nimemdharau kwa sababu zifuatazo..

Kwanza Eti ooh Tanzania haikuwa tayari kwa Rais Mwanamke na blaa blaa kibao,huu Ni ujinga na upuuzi..

Pili,Eti pili Rais anasafiri sana,hivi hii Ni hoja? Rais kusafiri na kutosafiri ndio Nini? Kusafiri makes sense na Hadi sasa imemake sense..

Alete namba Basi tulinganishe Mwendazake ambae hakusagfiri na Samia ambae amesafiria tuone impacts..

Mwisho Ni lini Tanzania haikuwahi kuibiwa kabla ya Samia? Kuibiwa kunahusianaje na jinsia ya mtu?

Hilo limwanamke linaongea Liko Marekani kwa Nini lisije kuishi Bongo ili kufanya justification ya linachoongea?
Wewe toka umo Baa,hueleweki unatetea nini!
 
Magu alikuwa na mapungufu yake Sawa Ila kwenye uongozi na uajibikaji alikuwa best

Ishu ya ajali ya ndege ingekuwa ni wakati wa magu watu wengi wangetumbuliwa

Miaka yote ya magu hakukuwa na mambo ya shida ya maji na umeme sijui alifanyaje but kuna Jambo la kujifunza

Yes magu hakusafiri na serikali ilikata Sana Safari zake but vitu vimeonekana , Nani alitegemea daraja la ubungo na tazara ?

Viko kwenye makaratasi miaka 30 back but yy alidhubutu kufanya

Angalia road ya Kimara ilivyo tamu,


Magu bwana pamoja na ubaya wake but uzuri wake unafunika mabaya yake
Uko sahihi sana.
 
Hata Sasa Uhuru upo ndio maana mnapayuka ,kipindi Cha Mwendazake mliufyata wala hamkuweza hata kupost picha za watoto wenu waliorundikana kwenye vyumba vya madarasa wakikaa echini..

Kipindi dhalimu anapewa ukweli wake hadi akawa anataka malaika washuke wafunge mitandao ulikuwa hujajuunga hapa jf, ndio maana unasema usemacho. Fungua post za kipindi cha dhalimu huku mitandaoni uone kama alikuwa anaogopwa.
 
Ingekuwa tunaweka Kwa asilimia then tungesema JPM ana 90% ya kujali uwajibikaji

Ndivyo yeye na nyie wapambe wake mlivyotaka tumaini. Kama ni uwajibikaji basi alikuwa chini ya 50%, huku labda akiwa juu ya hao wenzake kwa chini ya hizo 50%.
 
Kipindi dhalimu anapewa ukweli wake hadi akawa anataka malaika washuke wafunge mitandao ulikuwa hujajuunga hapa jf, ndio maana unasema usemacho. Fungua post za kipindi cha dhalimu huku mitandaoni uone kama alikuwa anaogopwa.
Ukweli upi mlikuwa mbafuatwa kwenye mitandao mnaufyata..

Baada ya hiyo kauli alitunga sheria ya maudhui mtandaoni na takwimu mnaufyata..

Samia anawadekeza ndio maana mnatukana,mtu asiye mataarabu Ni kuendeshwa Kama punda tuu.
 

Attachments

  • Screenshot_20220520-171316.jpg
    Screenshot_20220520-171316.jpg
    154.2 KB · Views: 2
  • Screenshot_20220415-140726_1.jpg
    Screenshot_20220415-140726_1.jpg
    61 KB · Views: 1
Hakuna unachojua wewe aisee unadhani kupayuka Sana na kukunja ndita ndio kuwajibika? Ufisadi uliofanywa awamu ya 5 haijawahi kuwa na mfano yaani unashushuka na tu flyover?

Unajua kwamba flyover za Mfugale Ni expensive kuzidi flyover ya Ghana ambayo Ni 3 level na complex kuliko hiyo unayoisemea?

Hapa ndio nakuona huna akili Ni lini awamu ya 5 ilikumbwa na ukame? Yaani Kuna ukame toka mwaka Jana imeleta shida ya maji na umeme then mtu na anasema eti awamu ya 5 kukokuwa hakuwa shida ya maji..Kwa taarifa yako Hakuna Rais aliyetoa kipaombele kikubwa kwenye sekta ya Maji Kama Rais Samia,mwaka tuu uliooita miradi zaidi ya 1000 ya uviko ilifanyika,mwaka huu Kuna miradi zaidi ya 1000 ya Ruwasa na miradi ya Miji 28 achilia mbali miradi Kama Dawasa nk..

Hoja ya kutosafiri ni ujinga tuu usio na maana,Safari za Rais Samia sio tuu zimefungua masoko kwa bidhaa za Nchi Bali zimeimarisha mahusiano yaliyoharibiwa na Mwendazake on top of that zimeiwezesha Nchi kupata fursa ya mikopo ya masharti nafuu kuliko mikopo ya kibiashara ya Mwendazake..

Nakushangaa unahangaika na kabarabra ka Kimara na tuvitu minor Kama huto ambavyo vimefanyika ndani ya Miaka 6 na miradi robo 3 hakumaliza kwa mda wote alikoaa ila Rais Samia amemalizia na ameanzisha mingine Nchi nzima..

Sasa Kama unapagawa na hiyo ya Kimara itajuaje Sasa utakapoona ya Tanzam km 172 zinaanzia kujengaa mwaka huu? Hiyo Ring road ya Dom km 120 utasemaje? Arusha to Moshi Hadi mpakani na Kenya km 108 utasemaje? Na nyingine nyingi Nchi nzima zinajengwa...

Chini ya Mwendazake Sekta nyingi zilikuwa paralysed ila saizi Kila sekta inaenda Tena vizuri.
Waswahili wanasema kuisifia nyama kwa utamu wake ukaudharau mchuzi huo ni ujinga maana mchuzi hutokana na nyama, mwendazake na huyo mama wote wamepikwa chungu kimoja sasa wewe endekeza siasa wakati huku mtaani sisi ndio tunaumia
 
Ndivyo yeye na nyie wapambe wake mlivyotaka tumaini. Kama ni uwajibikaji basi alikuwa chini ya 50%, huku labda akiwa juu ya hao wenzake kwa chini ya hizo 50%.

Then inchi hii hakuna kiongozi mwajibikaji Kwa stlye hiyo ya maneno yako
 
Waswahili wanasema kuisifia nyama kwa utamu wake ukaudharau mchuzi huo ni ujinga maana mchuzi hutokana na nyama, mwendazake na huyo mama wote wamepikwa chungu kimoja sasa wewe endekeza siasa wakati huku mtaani sisi ndio tunaumia
Hawajawahi kupikwa chungu kimoja..

Mwendazake haijawahi kuwa Kiongozi polite toka anazaliwa zaidi ya kuja kuingizwa kwenye siasa na Mkapa akapata bahati ya mtende kuwa Rais kwa sababu ya vita ya Makundi..

Samia amekuwa Kiongozi toka akiwa shule huko Hadi anakuwa vp na sasa Rais.
 
Back
Top Bottom