Daaah mungu ambariki mh makonda kwa huo msaada wa kuwapa walemavu miguu, naona aliamua kabisa kujichukua na video akitoa hio misaada huyu dogo ana hela sana mungu amzidishie, nawaza tu kama Bill Gates ,Bakheresa na wengine wenye hela wangekua wakitoa msaada mpaka wajirekodi sijui ingekuaje