Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,444
- 17,926
Siyo Chelsea, Man united au Man city mtakao sumbua kwenye epl... Mwaka huu ni wa spurs na liverpool na Arsenal kwa mbali. Niwaambieni kwa nn? Spurs na liverpool wamefanya usajili mzuri, hawajafanya mabadiliko ya makocha. Man u man city na chelsea wote wamebadili makocha. M2 kama moyes hafiti kwa clab kubwa kama Man united, ameenda pale kwa kubebwa na furguson. Vilab vya chelsea na man city wao wanaangalia kocha anayevuma ndo wanampa ajira. Usishangae kwa zaidi ya mwongo mmoja man u ikigombea nafasi ya kushiriki cl.