matokeo yakoje mkuu?Kwa kwel wapizan wa Chelsea mtatukoma msimu huu maana lile game lilivyo chezwa dhid ya B.munic(super cup),sijaona timu ya England yakutu fungu sisi...makombe yote ye2 msimu huu... KUBALI USIKUBALI MWAKA HUU MTAKOMA KWA CHELSEA
... Ndo.maana nimekuambia sijaona timu ya england ku2fungamatokeo yakoje mkuu?
.. Lukaku ametuangushaikawaje sasa mkafungwa?
Kwa kwel wapizan wa Chelsea mtatukoma msimu huu maana lile game lilivyo chezwa dhid ya B.munic(super cup),sijaona timu ya England yakutu fungu sisi...makombe yote ye2 msimu huu... KUBALI USIKUBALI MWAKA HUU MTAKOMA KWA CHELSEA
... Ndo.maana nimekuambia sijaona timu ya england ku2funga
Kwa staili ya kupaki basi amekuja kuharibu mpira england...ndo.dawa yao
Kwa staili ya kupaki basi amekuja kuharibu mpira england
Kwa kwel wapizan wa Chelsea mtatukoma msimu huu maana lile game lilivyo chezwa dhid ya B.munic(super cup),sijaona timu ya England yakutu fungu sisi...makombe yote ye2 msimu huu... KUBALI USIKUBALI MWAKA HUU MTAKOMA KWA CHELSEA
Kwa kwel wapizan wa Chelsea mtatukoma msimu huu maana lile game lilivyo chezwa dhid ya B.munic(super cup),sijaona timu ya England yakutu fungu sisi...makombe yote ye2 msimu huu... KUBALI USIKUBALI MWAKA HUU MTAKOMA KWA CHELSEA
Nipo macho mkuu
yaaan ni kichapo mwazo mwishoTayari Morinho ameshawambukiza kubwabwaja, ila poa nitafute baada ya mechi kumi za EPL.