mtoto wa kibopa JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 5,365 Reaction score 6,515 Aug 31, 2016 #41 busanji2003 said: mbn kwenye tecnol h5 inagoma kuwa connected..msaada please Click to expand... Sio simu zote zina support hiyo kitu mkuu
busanji2003 said: mbn kwenye tecnol h5 inagoma kuwa connected..msaada please Click to expand... Sio simu zote zina support hiyo kitu mkuu
tz1 JF-Expert Member Joined Mar 19, 2011 Posts 2,121 Reaction score 536 Aug 31, 2016 #42 Ukichomrka OTG cable ikakataa kuread. Nenda play store. Kuna applications za OTG. Jaribu kudownlod moja baada ya nyingine,kuna moja ita kwendana na simu yako. Note simu yako lazima I we in adroid 4.1+
Ukichomrka OTG cable ikakataa kuread. Nenda play store. Kuna applications za OTG. Jaribu kudownlod moja baada ya nyingine,kuna moja ita kwendana na simu yako. Note simu yako lazima I we in adroid 4.1+
baba kayla Member Joined Mar 28, 2016 Posts 78 Reaction score 42 Aug 31, 2016 #43 je otg cable inaweza ikatumika kwny projector km ikiunganishwa na hdmi cable?
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,254 Reaction score 44,363 Aug 31, 2016 #44 baba kayla said: je otg cable inaweza ikatumika kwny projector km ikiunganishwa na hdmi cable? Click to expand... mpaka simu yako ikubali MHL
baba kayla said: je otg cable inaweza ikatumika kwny projector km ikiunganishwa na hdmi cable? Click to expand... mpaka simu yako ikubali MHL
New Nytemare JF-Expert Member Joined Dec 15, 2011 Posts 3,440 Reaction score 2,673 Aug 31, 2016 #45 Million dollars said: Hyo cable adimu sana mkuu itunze ikutunze hautojuta kuipata Click to expand... zipo kibao sana
Million dollars said: Hyo cable adimu sana mkuu itunze ikutunze hautojuta kuipata Click to expand... zipo kibao sana
baba kayla Member Joined Mar 28, 2016 Posts 78 Reaction score 42 Aug 31, 2016 #46 mi natumia iphone 4s je itakubali?
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,254 Reaction score 44,363 Aug 31, 2016 #47 baba kayla said: mi natumia iphone 4s je itakubali? Click to expand... iphone hazina otg kwa tu rafiki na wifi
baba kayla said: mi natumia iphone 4s je itakubali? Click to expand... iphone hazina otg kwa tu rafiki na wifi
New Nytemare JF-Expert Member Joined Dec 15, 2011 Posts 3,440 Reaction score 2,673 Aug 31, 2016 #48 hv kwanini otg cable zina sumbua kwenye android 5.11 nyingi???