kama ndivyo basi wameifanya fupi mno,hawana ubunifu kabisa maana hapo itatakiwa ukae zero distance na TVHyo ya kuunganisha Simu na TV yani ukiunganisha hapo kitu utakachokuwa unafanya kwenye Simu utakiona kwenye TV yako but make sure hyo TV ina port ya USB
Unatakiwa uunge na HDMI cable ndo ambayo itaenda kwenye TV so distance itakuwepokama ndivyo basi wameifanya fupi mno,hawana ubunifu kabisa maana hapo itatakiwa ukae zero distance na TV
5o,000/=Duuh bei zake nishasahau kaulizie shop
Hdmi cable bei yake ni 10,000 mkuu5o,000/=
Ufafanuz mkuuMe ninazo nauza wakuu...
Mwenye uhitaji ani pm!!,
Zina kaz zaid ya hizo.
Unaweza bypass security ya cm na kuinstall Yale ma tracking Kwenye sim ya mtu
Mmh uongo huu umeletwa kwenu kwa hisani ya watu wa marekaniHyo ya kuunganisha Simu na TV yani ukiunganisha hapo kitu utakachokuwa unafanya kwenye Simu utakiona kwenye TV yako but make sure hyo TV ina port ya USB
Unaweza mkuuu ila kama simu yako ina supportAsante nimejaribu kuchomeka flash imekubali kusoma kwenye simu, vipi siwezi kutumia modern
Kuanzia 15000/tzshDhaa hiyo hdmi cable sina,vipi unafaham bei zake dukani
Zinauzwa maduka ya simu au computer?kama alivyosema mdao hapo juu ni usb otg tu bei zake ni shilingi 3,000 sometime hadi 2000 zinapatikana.
kazi zake ni kubadilisha usb yako ndogo kuwa kubwa na kuweza kueka vitu vinavyohitaji usb kama vile flash, external HDD, etc
ili ikubali inabidi simu yako iwe na feature hio ya usb otg.
maduka ya simu aggreyZinauzwa maduka ya simu au computer?
Kweli aixe imekubaliUnaweza kuitumia kucharge simu nyingine so simu yako inaweza kutumika kama power bank. Jaribu utaona na utafurahia
mbn kwenye tecnol h5 inagoma kuwa connected..msaada pleaseHata ukitaka kuchomeka USB Flash kwenye simu yako ili kuhamisha data au kukopi data unachomeka hiyo cable kwenye simu kisha upande mwingine unaweka flsh