Hii cable ina kazi gani

Hii cable ina kazi gani

mbeyaboyfrancy

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2015
Posts
248
Reaction score
91
Habari ya weekend jana nimenunua simu ya tecno L8 ndani ya box nimekutana na hii cable nilikuwa nataka kujua ina kazi gani
1469342093963.jpg
1469342105237.jpg
 
Million dollars jaribio lako limefeli kwenye tv ports zake ni female na hii cable port yake ni female kwa hiyo aiwezi ingia
 
Inaitwa "USB OTG" a.k.a USB On-The-Go, inakusadia kuweza kumount USB removable storage devices, ili uweze kumanage files zilizopo kwenye storage devices hizo kwa kutumia simu yako.
Na si storage devices pekee unazoweza kuconnect na simu yako, bali USB devices nyingi tu, kama vile Keyboard, mouse etc. zinaweza kutumika kama client devices zinapoungwa kwenye OTG, na simu yako ikawa ndiyo host device.
 
Hata ukitaka kuchomeka USB Flash kwenye simu yako ili kuhamisha data au kukopi data unachomeka hiyo cable kwenye simu kisha upande mwingine unaweka flsh
Asante nimejaribu kuchomeka flash imekubali kusoma kwenye simu, vipi siwezi kutumia modern
 
Back
Top Bottom