KIKOSIKAZI
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 2,219
- 1,150
Nakumbuka hii ishu ya boti ilileta uhasama sana hadi mijahidina ikawa inatokwa povu et magufuli akuziruhusu zisipite kwenye barabara zetu kwa sababu mwenye boti Muislamu. Naye Magufuli akajitokeza bila kumung'unya mdomo na kusema ni yeye kasema hapana kama vp mniombee albadili[/QUOTE]
matako yako acha unafiki
ivi iman/din yako bila matusi haiwezekan?na hapo wewe umesoma.je wasio soma wakoje?
Sasa hata kama ziliharibika, wameshindwa nini kuzifufua ili zipige mzigo?
Tiba
hiki kifaa nacho kilikuwepo kwenye titanic nazan kwa kitaalam wakat hule kilijulikana kama MAFIZIKOLO-AMPHIBIAN DECLOFENAC
Nakumbuka hii ishu ya boti ilileta uhasama sana hadi mijahidina ikawa inatokwa povu et magufuli akuziruhusu zisipite kwenye barabara zetu kwa sababu mwenye boti Muislamu. Naye Magufuli akajitokeza bila kumung'unya mdomo na kusema ni yeye kasema hapana kama vp mniombee albadili
Inawezekana kuna jambo hapa kwani siamini kwamba mpaka leo wameshindwa kupata spareparts? Wangechukua sample wakaileta hapa gerezani mbona jamaa wangekuwa wameishaichangamkia siku nyingi.
Tiba