Hii bidhaa ilipotelea wapi?

Naren

JF-Expert Member
Apr 22, 2016
692
428
791053130d5c7e1f31c6be1f4b51afd6.jpg

Nilikuwa mdau mkubwa wa juice za namna hiyo, hasa za bidhaa hiyo "drink-o-pop". Kuna tetesi niliwahi kusikia kuwa zimepigwa marufuku, Je ni kweli zilipigwa marufuku?
Na kuna mbadala wa bidhaa hiyo maana nilikuwa naokoa mda kipindi nipo skuli weka maji mix na hiyo kitu tayari juice.
 
umenikumbusha enzi za OKO najua watoto wengi hamkuikuta,miaka ya tisini huko,kiboko ya pancha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom