Hii betri mpya inapatikana madukani?

Hii betri mpya inapatikana madukani?

Akademician

Senior Member
Joined
May 20, 2015
Posts
143
Reaction score
36
Simu ni TECNO BOOM J5,
ina mwaka mmoja tangu inunuliwe na
Inaoperate vizuri tu.
Ila kwa sasa betri yake imeshaanza kuchoka.

Naomba kujuzwa kama betri mpya za Hii simu zinapatikana.

NB: Nimeangalia kupitia utaratibu wa TCRA,
Hii haimo miongoni mwa zitakazozimwa mwezi Juni.

Nisaidieni upatikanaji wa betri.
 
ukosefu wa sukari utasababisha vijana wengi kuchanganyikiwa
 
Back
Top Bottom