Hii beat ya sebene naipataje..?

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
36,515
Reaction score
89,009

Ni hiyo beat ya sebene inayoanza ktk kipindi cha hawavumi lkn wamo ITV.. Wakuu naombeni msaada naipataje.. kwa anaeijua naomba aieweke hapa...
 
he! kwahiyo hakuna ajuae..?
 
Hii beat kwenye celebrity forum iliwekwa ni ndefu kidogo.m Congo alikuwa anacheza balaa.
 
duh! nimepambana na hali yangu mpk nimeipata.. asanteni kwa kushiriki na asante kwa alieanzisha msemo kupambana na hali yako!..
[Mc[/MEDIA]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…