Hii baridi la Kilolo sio ya Mchezo

We jamaaa yaani huko nyanda za juu kusini ni balaaa
 
Kuweni makini na majiko ya mkaa ndani ya nyumba. Mtapoteza maisha kizembe
 
Hii kitu ilitaka kuniuwa huko Mbeya, nililala na jiko bahati mbaya katika kujigeuza mto ukadondokea jikoni nikiwa usingizini, kuja kushtuka chumba kimejaa moshi nashindwa kupumua
Pole na hatari sana hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…