Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii bar vipi?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by kivyako, Sep 29, 2012.

 1. kivyako

  kivyako JF-Expert Member

  #1
  Sep 29, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 4,866
  Likes Received: 632
  Trophy Points: 280
  Habari za jioni wadau wa jf, niko bar moja hapa tabata ni balaa kuanzia counter, wahudumu mpaka jikoni kote ni wanaume tena madingi.
   
 2. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #2
  Sep 29, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Sasa wewe umefuata wahudumu wa hiyo baa au umefuata ulabu,kama umefuata wahudumu basi hamia sehemu nyingine ila kama shida yako ni ngwasuma endelea tu..
   
 3. W

  Wajad JF-Expert Member

  #3
  Sep 30, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 657
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Koleza ulabu kichwani afu gusa masaburi yao. Atakae kasirika unamwambia samahani nimelewa nilifikiri wewe ni dada flani wa bar flani.
   
 4. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #4
  Sep 30, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 45,903
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 180
  Hutaki na wateja wa kike nao wale kwa macho?
   
 5. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #5
  Sep 30, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,389
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Kaazi kweli kweli, wewe unapenda wanaume wa aina gani kwani?
   
 6. kivyako

  kivyako JF-Expert Member

  #6
  Sep 30, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 4,866
  Likes Received: 632
  Trophy Points: 280
  Km wewe.
   
 7. kivyako

  kivyako JF-Expert Member

  #7
  Sep 30, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 4,866
  Likes Received: 632
  Trophy Points: 280
  Km wewe, kwi! kwi! kwi!
   
 8. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #8
  Sep 30, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,984
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145

  Hahahaha we Wajad unataka mwenzio ang'olewe majino bila ganzi eeh?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. kivyako

  kivyako JF-Expert Member

  #9
  Sep 30, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 4,866
  Likes Received: 632
  Trophy Points: 280
  km wewe, kwi! kwi! kwi!
   
Loading...