Hii bar iko maeneo gani hapa Tanzania?

mfilisti

JF-Expert Member
Sep 24, 2015
3,641
19,271
IMG-20191017-WA0043.jpg
 
Nikifika hapo kwanza naangalia wahudumu walivyo ili nione kama jina linasadifu yaliyomo!
 
Iko Kakola, jirani na fence ya Bulyahulu Goldmine, zinapopaki bodaboda. Eneo linaitwa namba Tisa, inajaza vibaya sana. Watu wanakunywa mchana na usiku.
 
Back
Top Bottom