Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,252
Sijajua kama ni awamu ya sita au saba, ila nachojua ipo kama jike la hayawani lililopo kwenye joto. Inatafuta mkunaji ila haiko tayari kukunwa.
Bado haijapata beberu sahihi kufanya hiyo kazi, maana mabeberu wanaojitoa wanapata changamoto isiyo kawaida.
Nahisi yupo beberu mmoja anatafutwa, ambaye "kamng'oa" mmoja juzi ndani ya saa 2 na dk zake.
Hayawani ukae mkao maana nasi tushajua, kwani who are we kufanya kazi unayoitaka? Beberu who are you keshaielewa code. Nasi tumeshaielewa pia ndio maana tumempisha.
Chokochoko zako si za kitoto. Unacbezea sana sharubu za watu halafu unawang'ong'a.
Joto likizidi sana utawehuka ewe awamu. Utawehuka kama watoto kwenye zile shule za bweni
Nachojua huyu beberu anayetafutwa hana interest kwa sasa na atakachifanya ni uwezeshajji wa beberu wa ndani kutekeleza kiu yako, kwa nguvu au ridhaa.
Sio kwa chokochoko hizi aisee