donbeny JF-Expert Member Aug 19, 2013 3,587 3,183 May 3, 2016 #3 Duuh lazima uongeze hela ya kuchukua
Bonesmen JF-Expert Member Jan 18, 2016 929 991 May 3, 2016 Thread starter #4 donbeny said: Duuh lazima uongeze hela ya kuchukua Click to expand... nimetaitika kiongozi
Bailly5 JF-Expert Member Mar 11, 2015 16,402 35,083 May 3, 2016 #5 Mmmmh hapo MTU anakaushwa mapema sana
Mgirik JF-Expert Member Apr 27, 2013 13,208 13,233 May 3, 2016 #6 Hayo ndio matatzo ya kwenda na Atm bar
samsun JF-Expert Member Feb 9, 2014 7,386 5,962 May 3, 2016 #7 Ukiwa mgeni na hiyo jinsia lazima uongeze salio.
mankachara JF-Expert Member Sep 27, 2013 6,147 3,464 May 3, 2016 #9 Hakimbiliki hata kidogo king'ang'anizi
Moisemusajiografii JF-Expert Member Nov 3, 2013 41,925 73,086 May 4, 2016 #12 Ukitazama kwa umakini utaona kuna roba ya paja pale
Totos Boss JF-Expert Member Dec 30, 2012 5,456 1,565 May 4, 2016 #13 Lazima atazipata tu hata ningekua mimi
sajumo JF-Expert Member Nov 20, 2013 1,834 1,055 May 4, 2016 #14 Nna hakika akitoka hapo huyo mtu hana. Chochote