hooligan01
JF-Expert Member
- Nov 21, 2013
- 664
- 540
- Thread starter
- #21
bwana hii application quality yake ni nzuri 2 mi naenjoy sana 2
hii app inanifaa mimi ninayependa movie za HD
naomba niwajuze watumiaji wa simu za android wanaopenda kudownload muvi kwamba kuna application inaitwa "Any movie downloader"ni nzuri aisee kwa kudownload muvi zote mpya na zaman kwa mb chache 2 na nzuri.utaipata playstore o mobile9 o mobegenie. hope mtaicheki na mtatoa feedback
bwana hii application quality yake ni nzuri 2 mi naenjoy sana 2
bwana hii application quality yake ni nzuri 2 mi naenjoy sana 2
quality inaendana na resolution kaka. movie ya mb 100 ukiplay kwenye simu kuanzia 360x640 na kuendelea inakua mbaya sana. ndo mana nkakutajia galaxy chat au tecno n3 hapo juu sababu resolution zake ni 240x320 ambazo ni sawa kwa movie hizo.
- Chukua hii hapa: http://goo.gl/fWblgs
Mbona siipati store,?
naomba niwajuze watumiaji wa simu za android wanaopenda kudownload muvi kwamba kuna application inaitwa "Any movie downloader"ni nzuri aisee kwa kudownload muvi zote mpya na zaman kwa mb chache 2 na nzuri.utaipata playstore o mobile9 o mobegenie. hope mtaicheki na mtatoa feedback
Asante mkuu sasa hivi nashusha tu
kama movie ukubwa ndio huo hawana lolote wanachukua tu kwenye server za friendz4m na labda uangalie kwenye simu kama tecno n3 na galaxy chat ndo itaoneka atleast nzuri sababu nahisi hizo movie hata 240p hazijafika zitakuwa ni 144p.
kama una simu nzuri au pc huwezi angalia hizo movie labda upunguze ukubwa wa player na kuiresize kiwe kidogo.
kwa android kuna app inaitwa showbox hii ndio inaonesha na kudownload movie full hd ambazo unaweza ukangalia kwenye simu za kisasa. na usitegemee movie ya hd kuwa chini ya mb500
Jamani eh mtu aweke link ya hiyo app hapa ili wote tuipate