Hii app ya mikopo ni kweli au utapeli?

Hii app ya mikopo ni kweli au utapeli?

Deci kwa jina lingine.

Wanapewa wachache wa mwanzo ili kuwahadaa wajinga na wapumbavu wengine baadaye.

D9 na QNET. Unapata mpumbavu mmoja akusaidie kupata wapumbavu wengine wengi.
 
Matapeli hawawezi kuisha coz "Mazwazwa" bado wengi sana.
 
Hahaha kwani wewe huna kadi ya chama?! App za nini wanachama hupewa mikopo bila kianzio.
Au kachukue kadi ya cdm kawaambie unataka kuhamia ccm, hutojuta.
 
Back
Top Bottom