Hii aina ya interview jamani ni udhalilishaji


mkuu hiyo interview huwa mpaka kwa wanawake,unavuliwa nguo,kisha unaangaliwa tumbo na maziwa km umeshawahi kuzaa,pili unaangaliwa uke wako,hapo pengine 2mbo na maziwa havijatoa majibu sahihi kwahy unapigwa tochi ktk uke wako,je umezaa,k2 kingine je unakovu ktk mwili wako au umejichora tatuu..ukifaulu hapo basi kz umepata.
 

hapa nina kahoja kaduchu...una maana wanawake wakiwa ofisini,ofisi haiendi??nijuze fresh hapo.
 

...interview huendana na aina ya kazi!...so inawezekana kabisa aina ya watu wanaotakiwa ktk iyo sekta ni lazima wawe STRAIGHT person!
nahisi maeneo km upadri na jeshi wanaweza kua na aina hii ya interview!...tungejua ni sekta gani labda upana wa majibu ungeongezeka!..
 
Hawa wanajeshi wote mnaowaona wamepitia mambo hayo wala msishangae jamani, ni mambo ya kawaida sana!
 
Acha niendelee na kijikazi changu kumbe nikazuri sn!sipo tayari kudhalilishwa na mwanadam mwenzangu kwa ajili ya kazi hata km hakuna namna nyingine ya kuyaendesha ni bora nirudi kijijin!
 
Hyo room ya interview aingia mmoja mmoja au wote mlofika siku hiyo?na wanawake je watestiwaje tena?
 

Kwa hiyo ukizaa hustahili hiyo kazi?Na je ukishapata afu ndo ukazaa inakuaje,wanakufukuza?
 
Acha niendelee na kijikazi changu kumbe nikazuri sn!sipo tayari kudhalilishwa na mwanadam mwenzangu kwa ajili ya kazi hata km hakuna namna nyingine ya kuyaendesha ni bora nirudi kijijin!

We unacho hata hicho kijikazi,kuna wengne hawana kabsaa so inabidi waende
 
Poa bwana, ngoja niwahi Lecture kwanza, nadhani haka ka koz nachosomea hakuna uzalilishaji kama huo...
 
sasa ukishaitiwa mrembo na ukasimamisha,wanakupa nafasi ya kuulaza tena na huyo mrembo au ndio unaachwa ukafie mbele???...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…