kuku dume JF-Expert Member Joined Apr 22, 2012 Posts 414 Reaction score 62 Jul 17, 2012 #1 Home jamani wakuu anayejua totote kuhusu taasisi hii naomba anijuze. ningependa kuwajua wamiliki wake.
Home jamani wakuu anayejua totote kuhusu taasisi hii naomba anijuze. ningependa kuwajua wamiliki wake.
J JADA Member Joined Oct 14, 2008 Posts 10 Reaction score 1 Sep 24, 2012 #2 hivi ni kweli wanatoa mokoopo kwa wanafunzi na kama ndio natamani wapewe nafasi kubwa sasa, maana sirikali ni kama imeelemewa katika hili
hivi ni kweli wanatoa mokoopo kwa wanafunzi na kama ndio natamani wapewe nafasi kubwa sasa, maana sirikali ni kama imeelemewa katika hili
A Angelina Masengwa Member Joined Oct 19, 2015 Posts 6 Reaction score 0 Nov 4, 2015 #3 Naomba kufahamu utaratibu wa chombo hiki maana mwaka huu hali ni ngumu kwa sie watoto wa masikini
Ntaluke.N. JF-Expert Member Joined Jun 21, 2015 Posts 1,340 Reaction score 552 Nov 5, 2015 #4 Angelina Masengwa said: Naomba kufahamu utaratibu wa chombo hiki maana mwaka huu hali ni ngumu kwa sie watoto wa masikini Click to expand... Pole sana Mayu Ng'wanamasengwa.
Angelina Masengwa said: Naomba kufahamu utaratibu wa chombo hiki maana mwaka huu hali ni ngumu kwa sie watoto wa masikini Click to expand... Pole sana Mayu Ng'wanamasengwa.
Single mother Senior Member Joined Jun 10, 2015 Posts 158 Reaction score 57 Nov 5, 2015 #5 hebu kaa chini uandike kitu kinachoelewela
Geofrey_GAMS JF-Expert Member Joined Feb 15, 2012 Posts 496 Reaction score 229 Nov 5, 2015 #6 Angelina Masengwa said: Naomba kufahamu utaratibu wa chombo hiki maana mwaka huu hali ni ngumu kwa sie watoto wa masikini Click to expand... Ndo kuisoma namba huko dada angu... Hela tumelipa wasanii kwenye kampeni... Itabid mnyooke tu... Acha waisome namba eeh.. Sie mbele kwa mbele na leo tunaapisha
Angelina Masengwa said: Naomba kufahamu utaratibu wa chombo hiki maana mwaka huu hali ni ngumu kwa sie watoto wa masikini Click to expand... Ndo kuisoma namba huko dada angu... Hela tumelipa wasanii kwenye kampeni... Itabid mnyooke tu... Acha waisome namba eeh.. Sie mbele kwa mbele na leo tunaapisha
Ze Heby JF-Expert Member Joined Jun 22, 2011 Posts 5,795 Reaction score 6,443 Nov 5, 2015 #7 HLSSF inahusishwa na utapeli ndugu zangu.Kuna nyuzi kadhaa zimewahi kuletwa humu kuhusu utapeli wa hawa jamaa Tuwe makini
HLSSF inahusishwa na utapeli ndugu zangu.Kuna nyuzi kadhaa zimewahi kuletwa humu kuhusu utapeli wa hawa jamaa Tuwe makini