High way internet | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

High way internet

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Adolph, Sep 5, 2012.

 1. Adolph

  Adolph JF-Expert Member

  #1
  Sep 5, 2012
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 870
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Wakuu nipo mkoani karibu na chalinze..nimeanzisha internet cafe ila huku mtandao ni shida sana hakuna cha broadband wala nn..nimekua nikitumia modem za mitandao tofauti kwa speed za edge..nimeamua niongeze ofic maana wateja wamekua wengi hivyo kuendelea kutumia moderm za kawaida itakua ni shughuli pevu..nina computer 10. Ttcl na sasatel bado hajawafika huku ila kuna mtu kaniambia kuna watu wanaitwa High way wanaweza wakaja kuniwekea mitambo yao na speed yao ni 128KBPS kwa malipo ya TSH 100000. Bado nadhani speed hiyo ni ndogo sana ila sina namna..nimejaribu kutafuta contact za hawa watu sijazipata.naomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia kupata contacts zao nitashukuru..au kama kuna altenative way ya mimi kufaya naomba ushauri wenu..mitandao yote huku(voda,tigo,zantel na airtel) ni edge hakuna 3G
   
 2. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #2
  Sep 5, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,782
  Likes Received: 7,096
  Trophy Points: 280
  are u sure ttcl na zantel hawapo? Maana network zao hao jamaa ni cdma huzion kwa modem za kawaida hadi modem zao jaribu kuazima kwa mtu utest i hope wapo.

  128KBps kwa kubrowse ni speed kubwa tena sana tu sema sjajua sasa kama ni shared speed au vp. Shared speed inamaana computer 10 kila moja itapata 12.8KBps lakini kama sio shared sio kubwa hio bei na utakamata vichwa vingi tu na pindi ukiongeza pc speed haitashuka
   
 3. Endangered

  Endangered JF-Expert Member

  #3
  Sep 6, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 929
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Nadhani unamaanisha iWay Africa, hao wanafahamika, ila sio highway.
  iwayafrica, utapata contacts zao humo, ofisi zao ziko Upanga, Dar.
   
Loading...