High quality, huwezi kupata popote


Miunda

Miunda

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Messages
513
Points
225
Miunda

Miunda

JF-Expert Member
Joined Aug 26, 2014
513 225
Una mjengo? Unahitaji vitu kama hivi? Ni very expensive lakini ni quality ya hali ya juu, huwezi kupata Tanzania labda uwagize ulaya au America, kwa nini ununue vya China baada ya miezi 6 vimekufa? Asikudanganye mtu, wafanya biashara tz sio wakweli, atakuwambia quality, lakini sio kweli wananunua rahisi China low quality ili ku make profit.

Sasa mimi nafanya biashara hii lakini not officially, naweza kikupatia bei powa kutoka UK, hizo bei unazo ziona ndio thamani yake lakini nazipata less than that. Pm me if you are interested
 

Attachments:


Forum statistics

Threads 1,285,403
Members 494,595
Posts 30,860,558
Top