High heels make women look good

hivi nishawahi kukwambia huo ndio ugonjwa wangu??!!!

53a090bda69a7_-_cos-07-date-splurges-lgn-25746818-jpg.329272


Heheh!,....sawa bwana!
 
High hills zina raha yake kwa kweli, japo mie napenda kumuona mwingine kavaa sio mimi, mie mid-hills ndio napendelea zaidi.
 
Kiukweli ukivaa lazina uonekane karembo
Mm ni kaandunje ila nkizipiga naonekana mdada fulan hv mrefu kumbe lol
 
  • Thanks
Reactions: kui
High heels zikikutana na mtembeaji mzuri inakuwa woow...ila kuna wengine wanazipenda japo zenyewe haziwapendi. Utembeaji unaonekana kuwa mgumu manake kiatu kinapinda utafikiri kinaelekea kumvunja mvaaji...
 
High heels ndio kila kitu,napenda sana kuvaa ila zile ndefu sana nchi 6 huko kama akina Wema zinanishinda sababu ya urefu.
Najikuta watu wananishangaa hadi nakosa amani...
Ila nchi 3 poa tu...

Na hupendelea sana kuvaa na magauni marefu au skin jeans...
Sijawahi kuvaa min skirt na high heels,na wembamba huu sijui itakuwaje...lol
 
Vaa high heels uwe na kimo cha joti then umepigwa pasi alafu tuone kama ndo kila kitu.....hivi vitu vina watu wao
 
Back
Top Bottom