Hifadhi mazao bila kutia dawa

Hifadhi mazao bila kutia dawa

Sikalengo

Member
Joined
Nov 3, 2011
Posts
38
Reaction score
18
IMG_20170702_180753_473.jpg

HIFADHI MAZAO BILA KUTIA DAWA
Kwa ajili ya kulinda afya ya mlaji, tumia mifuko ya kisasa (helmetic) kuhifadhi mazao yako. Mifuko inaitwa PICS Na AgroZ.

Ukubwa: kilo 100
Bei: 4000

Tutakutumia ulipo.

FARMRICH Agro-Enterprises Ltd
Email: farmrichagro@gmail.com
Call: 0755325442
 
Ingredients zilizotumika kutengenezea hivyo vifungashio ni zipi?
Na mifuko hiyo ina uwezo wa kutunza nafaka kwa muda gani?
 
Naomba ufafanue hiyo mifuko ina kitu gani kinachofanya mazao yasishambuliwe? Ni muhimu tafadhali.

View attachment 534676

Hii ina nini cha ziada tofauti na ile ya kawaida inachoipa uwezo wa kuzuia uharibifu wa mazao?
 
Dumuzi anazuilika kwa sumu tu. Lakini sibishi mkuu maana teknolojia ina change kila uchwao kua hii mifuko inaweza kua mkombozi kwa sisi wakulima na wafanyabiashara ya mazao.
 
Kwa mkulima bora atumie tu dawa maana ina faida kuliko huo mfuko
 
Hii ina nini cha ziada tofauti na ile ya kawaida inachoipa uwezo wa kuzuia uharibifu wa mazao?
Ina mfuko usiopitisha hewa kwa ndani kama ule wa sukari.
Ni nzuri sana. Dumuzi haingii ila ikitobolewa na panya wadudu wanaingia.
Nadhani haina dawa .
 
Ingredients zilizotumika kutengenezea hivyo vifungashio ni zipi?
Na mifuko hiyo ina uwezo wa kutunza nafaka kwa muda gani?
Mifuko inaweza kutumika hadi misimu mitatu

Imetengenezwa kwa nylon ya kawaida. Mfuko una layers tatu. The outermost layer is made up of polypropylene nylon, ile ya nyuznyuz ama salfeti. The inner two layers are made of polythene nylon. Hizi mbili za ndani Ni airtight so hufanya wadudu wasafoketi Na kufa kwa kukosa oxygen
 
Naomba ufafanue hiyo mifuko ina kitu gani kinachofanya mazao yasishambuliwe? Ni muhimu tafadhali.
Mifuko inaweza kutumika hadi misimu mitatu

Imetengenezwa kwa nylon ya kawaida. Mfuko una layers tatu. The outermost layer is made up of polypropylene nylon, ile ya nyuznyuz ama salfeti. The inner two layers are made of polythene nylon. Hizi mbili za ndani Ni airtight so hufanya wadudu wasafoketi Na kufa kwa kukosa oxygen
 
Hii ina nini cha ziada tofauti na ile ya kawaida inachoipa uwezo wa kuzuia uharibifu wa mazao?
Mifuko inaweza kutumika hadi misimu mitatu

Imetengenezwa kwa nylon ya kawaida. Mfuko una layers tatu. The outermost layer is made up of polypropylene nylon, ile ya nyuznyuz ama salfeti. The inner two layers are made of polythene nylon. Hizi mbili za ndani Ni airtight so hufanya wadudu wasafoketi Na kufa kwa kukosa oxygen
 
Kampuni hii pamoja na wakala wenu tunawalaumu kwa kushindwa kujitangaza! Nilibahatika kuona makala juu matumizi ya mifuko hii kwenye kituo kimoja cha televisheni, kuanzia hapo sijawahi kuona matangazo yoyote juu ya mifuko yenu!
 
Dumuzi anazuilika kwa sumu tu. Lakini sibishi mkuu maana teknolojia ina change kila uchwao kua hii mifuko inaweza kua mkombozi kwa sisi wakulima na wafanyabiashara ya mazao.
Mifuko inaweza kutumika hadi misimu mitatu

Imetengenezwa kwa nylon ya kawaida. Mfuko una layers tatu. The outermost layer is made up of polypropylene nylon, ile ya nyuznyuz ama salfeti. The inner two layers are made of polythene nylon. Hizi mbili za ndani Ni airtight so hufanya wadudu wasafoketi Na kufa kwa kukosa oxygen

OXYGEN inaondokaje ndani?
Mazao utayohifadhi yana uhai hivyo hupumua. Mazao hayo humaliza oxygen yote Na hivyo kubakisha carbondioxide tu.

Ndio maana huwezi kuhifadhia mbegu mifuko hii, mbegu zitakufa
 
Kampuni hii pamoja na wakala wenu tunawalaumu kwa kushindwa kujitangaza! Nilibahatika kuona makala juu matumizi ya mifuko hii kwenye kituo kimoja cha televisheni, kuanzia hapo sijawahi kuona matangazo yoyote juu ya mifuko yenu!
Ni kweli ndugu, tumekuwa taratibu katika kusambaza habari. Hii inahitaji collaborative effort maana watanzania karibu wote wanahitaji kupata elimu hii
 
Back
Top Bottom