Hidden folder | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hidden folder

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by dada white, Sep 17, 2012.

 1. dada white

  dada white JF-Expert Member

  #1
  Sep 17, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 1,233
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Nisaidien jinsi ya kupata Hidden folder natumia window 7 profesional ni za muhimu sana
   
 2. rickymj

  rickymj Senior Member

  #2
  Sep 17, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 132
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hauko str8 dada mweupe!!
  Minaöna haujajieleza vizuri,,,
   
 3. N

  Nyasiro Verified User

  #3
  Sep 17, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 1,286
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  klik Start hapo search Folder Options halafu ifungue utaenda kwenye tab iliyoandikwa View ichague af utaselect show hidden files/folders Apply OK file zote zitakua znaonekana. Unaweza pia tafuta hii program "Ava Find" itakusaidia kusearch file zako hata kama ziko hiden.
   
 4. dada white

  dada white JF-Expert Member

  #4
  Sep 17, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 1,233
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Nimehide folder kwa kwa right click then properties then ikapotea sasa nataka nizipate tena ni za muhimu sana.
   
 5. Skillseeker

  Skillseeker JF-Expert Member

  #5
  Sep 17, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 230
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  nenda kwenye sehemu (folder) ulikohide hilo folder lako ..ngoja nikupe mfano kwa kutumia picha uelewe..

  Hapa ninafolder langu linaitwa "myfolder".nitalihide kwanza alafu nitalirudisha ili niweze kuliona..naomba ufuatilie kwa makini. location lilipokuwa hili folder nikalihide ndio hiyohiyo ambapo nimerudi na kulitafuta ili nilione(ukiangalia vizuri utagundua myfolder iko ndani ya newfolder2 na ndio nitalitafutia hapohapo)...

  1.PNG


  sasa ninahide folder kwa kuright click then properties alafu natick hidden alafu nabonyeza apply then ok.
  2.PNG

  baada ya kuhide unaona folder halipo tena.. sasa naenda kwenye organize alafu nikiclick kuna list inatokea nachagua "folder and search option" then folder option window itatokea. ikitokea naenda kwenye view (highlighted). page itakayokuja naenda kwenye "show hidden files, folder and drives" naclick alafu naapply then napress OK. baada ya hapo folder litaonekana.
  3.PNG


  4.PNG


  5.PNG

  6.PNG


  sasa ukitaka lionekane permanently right click folder alafu nenda kwenye properties ukauntick hidden option alafu uapply then Ok.

  Ukimaliza yoote haya rudi kwenye "organize",folder and search option, view, alafu urudisha option inayosema dont show hidden files ambayo inaonekana hapa chini juu ya hiyo highlighted option..
  5.PNG

  ukimaliza weka ok basi..

  natumai nimeweza kukupa jibu la swali lako..
   
 6. rickymj

  rickymj Senior Member

  #6
  Sep 18, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 132
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  sorry nmechelewa kurud bt naona ushajibiwa hapo juu!
   
Loading...