Ulimbo
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 3,766
- 4,048
Kwa nini hujauliza alichovaa mke wake ni nini?
aiseee nimechekaa sana mod naomba hichi ndo kiwe kichwa cha habari katika picha hii.
BTW Ma Salma needs to style up.
Who dresses her up? Job badly done!
hata cjui ni nn
Huko mkuu nilikutana na "vichupi" tu haya makitu sikubahatika kukutana nayo.
Tezi Dume Protector (TDP)