Ha ha aaaaa sawwwa!!!Huko mkuu nilikutana na "vichupi" tu haya makitu sikubahatika kukutana nayo.
Tezi Dume Protector (TDP)
aiseee nimechekaa sana mod naomba hichi ndo kiwe kichwa cha habari katika picha hii.
Kavalishwa au kavaa kwani ndani amna kiyoyozi nauliza tu kujua zaidi hau uko akunaga viyoyozi.
Kavalishwa au kavaa kwani ndani amna kiyoyozi nauliza tu kujua zaidi hau uko akunaga viyoyozi.
Naona kiti chake tafauti kidogo........kina 4WD..........Ingawa sio "wheelchair"