Hiace 'mpya' inauzwa

Serendipity

JF-Expert Member
Jan 24, 2009
486
43
Hiace imewasili DSM tarehe 6 Januari 2010, inaweza kutumika kama children bus au Daladala. Ninzuri sana kama inavyoonekana kwenye Picha. Inatumia diesel na ni ya 1997.
Kwa mawasiliano nitwangie, 0717696688
Asking price 17.5M
 

Attachments

  • HIACE 1.JPG
    HIACE 1.JPG
    35.8 KB · Views: 190
  • hiace 2.jpg
    hiace 2.jpg
    37 KB · Views: 141
  • HIACE 3.jpg
    HIACE 3.jpg
    40.5 KB · Views: 141
  • hiace 4.jpg
    hiace 4.jpg
    32.7 KB · Views: 147
Udalali unaruhusiwa , ila kwa makubaliano, bei ipo hapo, inaanzia 17.5M
 
Hizi panki (roof haijainuka) ni ndogo kwa kwenda juu, na kwa idadi ya viti, havina soko kama zile kubwa.

Punguza bei.
 
Back
Top Bottom