Hiace hiace ya biashara inahitajika

Hiace hiace ya biashara inahitajika

mukiza2014

Member
Joined
Nov 7, 2014
Posts
34
Reaction score
1
Mwenye hiace anitafute aniajiri kama dereva wake hapa Dar nifanyie kazi pande za gongolamboto to chanika Hesabu kwa siku 50,000/= kwa wiki 250,000/= piga 0714064767
 
Mwenye hiace anitafute aniajiri kama dereva wake hapa Dar nifanyie kazi pande za gongolamboto to chanika Hesabu kwa siku 50,000/= kwa wiki 250,000/= piga 0714064767

Lakini wiki ina siku 7, au hizo mbili hesabu utakua unachukua wewe?
 
Ni siku sita kwa wiki ILA siku ya Saba Ni mapumziko so jumla kwa wiki ni 300,000/=

madereva mkiomba kazi mnakuwa wapole sana , mkipewa kazi mnakuwa pasua vichwa sana, ungekuwa dereva mzuri ungekuwa tayari una gari.
 
Back
Top Bottom