Wakuu, natumaini mnajiandaa vyema na weekend.
Mwisho wa mwezi 10 nahitaji kupata Hiace dungu, manual, diesel, ikiwezekana 4wd na pia walau iwe na max 100,000km na cc isiyopungua 2500.
Pia isiwe imetumika hapa bongo.
Wenye yard zinazoaminika au unaefahamu ninakoweza kupata naombeni taarifa.