Hiace dodoma kugeuza barabarani kuwa kituo yaleta balaa

mansoorsaid

JF-Expert Member
May 31, 2014
1,498
284
hapa majengo dodoma mita 100 toka soko kuu barabara iendayo wilaya ya bahi kuna msururu wa hiace zinazopaki barabarani husababisha ajali na sasa wizi umeanza kwenye biashara za watu tumelalamika lakini hatusikilizwi usalama barabarani wanakuja wanazunguka kwenye hayo magari wanaondoka hakuna msaada wowote
 
hapa majengo dodoma mita 100 toka soko kuu barabara iendayo wilaya ya bahi kuna msururu wa hiace zinazopaki barabarani husababisha ajali na sasa wizi umeanza kwenye biashara za watu tumelalamika lakini hatudikilizwi usalama barabarani wanakuja wanazunguka kwenye hayo magari wanaondoka hakuna msaada wowote


Kama sitting room ya serikali ndo hayo yatendeka je kwingineko kutakuwaje
 
Back
Top Bottom