utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,671 Jan 12, 2014 #2 Amekupotea wapi na lini?
Queen Horse JF-Expert Member Joined Sep 12, 2013 Posts 414 Reaction score 317 Jan 12, 2014 #3 Kakimbilia wapi
Eddy Love JF-Expert Member Joined Jul 25, 2011 Posts 13,655 Reaction score 8,584 Jan 12, 2014 #4 nenda kituo cha polisi ukareport kapotea muda gani ili uweze kumpata
angelita JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 3,017 Reaction score 2,445 Jan 12, 2014 #5 kapotea lini??
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 51,002 Reaction score 72,284 Jan 12, 2014 #6 Aliondoka kavaa nguo ya aina gani ,,Jina lake pliz mengine yatafuataa baadaee
Princess Somali Senior Member Joined Jan 10, 2014 Posts 182 Reaction score 66 Jan 12, 2014 #7 Haha JF baana,
Polisi jamii JF-Expert Member Joined Mar 22, 2013 Posts 2,604 Reaction score 1,385 Jan 12, 2014 #8 jinja nipe maelezo yako yote inspector nipo hapa kwa ajili ya uchunguzi Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
jinja Member Joined Oct 27, 2013 Posts 13 Reaction score 3 Jan 12, 2014 Thread starter #9 Hahahahaaaaaaaaaa watu waswahili humu OK I mean natafta mke wa kuoa mpo hapo? So naombeni msaada wenu maana ninaokutana nao wafwata maslahi tu
Hahahahaaaaaaaaaa watu waswahili humu OK I mean natafta mke wa kuoa mpo hapo? So naombeni msaada wenu maana ninaokutana nao wafwata maslahi tu
atug JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 2,821 Reaction score 3,618 Jan 12, 2014 #10 Toa wasifu wako
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 51,002 Reaction score 72,284 Jan 12, 2014 #11 jinja said: Hahahahaaaaaaaaaa watu waswahili humu OK I mean natafta mke wa kuoa mpo hapo? So naombeni msaada wenu maana ninaokutana nao wafwata maslahi tu Click to expand... Facebook umekosaa mkuu
jinja said: Hahahahaaaaaaaaaa watu waswahili humu OK I mean natafta mke wa kuoa mpo hapo? So naombeni msaada wenu maana ninaokutana nao wafwata maslahi tu Click to expand... Facebook umekosaa mkuu
jinja Member Joined Oct 27, 2013 Posts 13 Reaction score 3 Jan 12, 2014 Thread starter #12 Nina miaka 28 naish arusha nafanya Kazi picha Yang ndio hyo
ullaya Member Joined Dec 30, 2013 Posts 35 Reaction score 3 Jan 12, 2014 #13 Wanawake Wa humu utawaweza? Kama kote umekosa
swtlady Senior Member Joined Oct 22, 2013 Posts 156 Reaction score 103 Jan 12, 2014 #14 Sasa huyo mke unaemtafuta keshaitwa mke na ww uoe tena hapohapo?sentensi yako tata mkuu.
ullaya Member Joined Dec 30, 2013 Posts 35 Reaction score 3 Jan 12, 2014 #15 Duh! Tunakusaidiaje na we unataka wake za watu
kweyamba_dave JF-Expert Member Joined Oct 2, 2012 Posts 961 Reaction score 484 Jan 12, 2014 #16 mmmmh simu tununue humu,magari humu,nyumba ila wake huo uongo utampata midfielder akusumbue mpaka basi.b.t.w kwan mtaan kwenu kama jela?
mmmmh simu tununue humu,magari humu,nyumba ila wake huo uongo utampata midfielder akusumbue mpaka basi.b.t.w kwan mtaan kwenu kama jela?
kimugina JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 1,142 Reaction score 577 Jan 12, 2014 #17 Wahi katangazishe Msikitini Mkuu,,Au kwa mtendaji wanaweza kuwa wamemuona sehem
Hornet JF-Expert Member Joined Apr 29, 2013 Posts 26,844 Reaction score 52,251 Jan 12, 2014 #18 Unatafuta mke wa kuoa??sijaelewa au unamaanisha mwanamke ambaye tayari ni mke ili na wewe uoe? jinja said: Hahahahaaaaaaaaaa watu waswahili humu OK I mean natafta mke wa kuoa mpo hapo? So naombeni msaada wenu maana ninaokutana nao wafwata maslahi tu Click to expand...
Unatafuta mke wa kuoa??sijaelewa au unamaanisha mwanamke ambaye tayari ni mke ili na wewe uoe? jinja said: Hahahahaaaaaaaaaa watu waswahili humu OK I mean natafta mke wa kuoa mpo hapo? So naombeni msaada wenu maana ninaokutana nao wafwata maslahi tu Click to expand...
C cj21125 JF-Expert Member Joined May 12, 2013 Posts 3,588 Reaction score 3,521 Jan 12, 2014 #19 jinja said: Natafta mke Click to expand... Toa taarifa katika kituo chochote cha polisi kilicho karibu nawe au fika katika ofisi za idara ya habari maelezo kwa msaada zaidi.
jinja said: Natafta mke Click to expand... Toa taarifa katika kituo chochote cha polisi kilicho karibu nawe au fika katika ofisi za idara ya habari maelezo kwa msaada zaidi.
NDAGLA JF-Expert Member Joined Jul 24, 2012 Posts 2,490 Reaction score 1,357 Jan 12, 2014 #20 jinja said: Natafta mke Click to expand... Endelea tu kutafuta.