Hi

Hi

nenda kituo cha polisi ukareport kapotea muda gani ili uweze kumpata
 
Aliondoka kavaa nguo ya aina gani ,,Jina lake pliz mengine yatafuataa baadaee
 
jinja nipe maelezo yako yote inspector nipo hapa kwa ajili ya uchunguzi
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaaaaaaaa watu waswahili humu OK I mean natafta mke wa kuoa mpo hapo? So naombeni msaada wenu maana ninaokutana nao wafwata maslahi tu
 
Hahahahaaaaaaaaaa watu waswahili humu OK I mean natafta mke wa kuoa mpo hapo? So naombeni msaada wenu maana ninaokutana nao wafwata maslahi tu

Facebook umekosaa mkuu
 
Nina miaka 28 naish arusha nafanya Kazi picha Yang ndio hyo
 
Sasa huyo mke unaemtafuta keshaitwa mke na ww uoe tena hapohapo?sentensi yako tata mkuu.
 
mmmmh simu tununue humu,magari humu,nyumba ila wake huo uongo utampata midfielder akusumbue mpaka basi.b.t.w kwan mtaan kwenu kama jela?
 
Wahi katangazishe Msikitini Mkuu,,Au kwa mtendaji wanaweza kuwa wamemuona sehem
 
Unatafuta mke wa kuoa??sijaelewa au unamaanisha mwanamke ambaye tayari ni mke ili na wewe uoe?
Hahahahaaaaaaaaaa watu waswahili humu OK I mean natafta mke wa kuoa mpo hapo? So naombeni msaada wenu maana ninaokutana nao wafwata maslahi tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom