Sasa unafungua thread kusema "hi" mbona unachezea resource na kujaza server ya jf nafikiri wewe utakuwa ni gamba ndio wenye tabia ya kuchezea resource. Mod Hebu mlambishe ban ya siku 90 arudi zake kwenye face book