km kuna msichana alietendwa km mm tuungane pamoja ninaimani huyo atakuwa na mapenzi ya kweli nami
Sasa tukusaidiaje weye kijana, watoto wawili hao wamejitokeza fasta kukudaka kwenye uzi wako, sijui umekimbilia wapi tena!
, afu utaendelea kusema una mkosi
Huna mkosi, badili tu aina ya wasichana uliozoea kutoka nao.
Pole.
mhm?
Aendelee kubadili mpaka lini Da' Lizzy? Si ndo mwanzo wa kuitwa playboy sasa?
Abadili AINA, yani atafute ambae ni tofauti na aliozoea kuwatokea na sio abadili wadada kila siku.