Hi

Hi

Asante kwa kuitikia wito dia babu

Kuhusu file lake kwa kweli sijui kitu,ndio maana nimekuita unipe angalau samari
Basi acha dia babu wako aingie kazini. Subiria mrejesho baada ya mchakato kumalizika.

Sitakuangusha
 
Bibie hii ni Mara ya pili tunaonana na sidhani Kama ni vibaya iwapo tukifahamianašŸŽ¶
Vicky: "Naitwa Vickie na miaka 22 ni mtoto pekee kwenye familia ya kitajiri"šŸŽ¶
Me : Ooh naitwa Jay ukiniita fukara haukoseišŸŽ¶
na naishi kwa nguvu za macho siku zenyewe hazisogeišŸŽ¶

Alishuka toka garini na kusema "jay nakupenda"šŸŽ¶ akaruka kwangu mdomoni na kuanza kupata dendašŸŽ¶
Nilichomoka kwake na kuanza kurudi nyumašŸŽ¶
Vicky: "Tafadhali mpenzi jay jamani nionee huruma"šŸŽ¶
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom