Wengi hawajui wanadhani hii ni kama facebook, hawajui kama hii ni forum. Harafu hii inatokana na kutopata uzoefu. Yaani hawajatembelea mara kwa mara kuelewa maisha ya huku yakoje. Mtu kaingia tu mara moja mbili then katengeneza account.