daah,, sijui jamaa kabla ya kujiunga hakuwahi hata kuingia kama guest akaona watu ni unknown humu au ndio kafikiria huku ni kama Fb full kumwaga mapicha Tu daadek

Lugha chafu kama hizi Mimi kama Adimini sizitaki mkuu Shaib rich huyu member achana nae ngoja nimpige ban asionekane humu kua Na amani mkuu uko sehem salama Na Mimi ndo Adimini humu Fanya kama nilivyokuagiza