Hi

Your first post explains it dear.... Karibu saaana Tausi... ila kuna jukwaa la

utambulisho kule chini.... sasa hapa itabidi ulete topic so that we chat...
 
Am a new comer hw z jamiiForums jamani
Haaaaa! Kumbe ndo wewe.....! Si tulipishana kule round about, we hukuniona? Jamani...... sikujua kama unakuja huku nyumbani kwetu!! karibu sana mwaya....JF is so good! Kuna walimu, wanasheria, madaktari, wachungaji na masheikh, kuna wanasiasa, watalaam wa uchumi, sayansi na teknolojia pia wanapatikana. Tuna watalaam wa saikologia vilevile tunatoa ushauri buree.....na mambo mengine mazuri sana! U are warmly welcome dear!
 
Na yeye atoe mchango wake humu katika maswala amboyo ana ujuzi nayo,atujuze au sio jamani!!!
 
U a at the right place at a wrong time as the country is in total darkness baby!!!
 
Karibu sana. Niliona Lizzy anasema JF inaboa sababu ya ujinga ila nadhani with members raining kila siku watakuja watu wakusaidia kuinua level ya michango. Karibu mama.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…