Kwanza badilisha
kichwa cha thread sababu
Inaonekana kama HI ya salamu
haina nguvu au mwelekeo kabisa..
yaani hauuzi mada yako vizuri..
Pili kuna mimba ambazo
Zimetungwa nje ya ndoa na zilitarajiwa
I mean wako plan kuwa namtoto
Tatu ujauzito kabla ya ndo..
Mmmhhhh sijakupata hapo unauliza nini..
Nne
Usinichanganye
Leo ijumaa..
Peace