Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,590
- 6,956
Angekuwa Msukuma mngesema. Huyu si Mchaga kabisa huyu?![]()
Hahahaha Ila nikweli mkuu anashape ya kichagga, huwenda ni mchagga kweli
Angekuwa Msukuma mngesema. Huyu si Mchaga kabisa huyu?![]()
We ni Ke au Me?
Tetehete!! Wacha tuone kali ya mwaka
Imran Mushi. Na picha juu. Lazima Mchaga huyu. Na probably ni kamanda!Hahahaha Ila nikweli mkuu anashape ya kichagga, huwenda ni mchagga kweli
Kajitambulishie MMU kule na pic yako... Unaeza ukatimiza kusudio lako,,,




huyu jamaa kanichekesha sana kwa kuweka picha kama utambulisho ila vizuri pia Ulishamuona wapi kwingineko? Mwaga ubuyu!Mkuu kumbe upo hadi huku, dah!
Umeona sasaaaaaahuyu jamaa kanichekesha sana kwa kuweka picha kama utambulisho ila vizuri pia
Karibu
Ila mkuu uvumilie tu maana kwenye hiyo picha kuna watu wanaona mpaka visivyo onekana
Badala ya kuangalia picha wataangalia paa lisilowekwa ceiling board ,
Ndio changamoto zenyewe

Yaani amepoteza uhuru wake bila kujua.Huyu tayari keshaharibu id washakariri...![]()
![]()
![]()
![]()
Chamsingi ablock account aingie upya maake hapa washamjua kuanzia sebuleni mpaka uvunguni washasoma na kukagua uwepo wa gypsum na madikodiko kibao..!!!Yaani amepoteza uhuru wake bila kujua.
Ukimuuliza vyema utakuta aliishi Mwanza au maeneo kama hayoAngekuwa Msukuma mngesema. Huyu si Mchaga kabisa huyu?![]()

Dah ila mijaNaume mingine ya kichagga aise inasura ya kike kabisa,akivaa skentait na kiblauzi aaa utambeep tu.
ona sasa alikuwa anadhani hii ni badooKwani hiyo picha unaona nini mkuuMkuu sasa hajitambulishi ni wa jinsia ipi, hilo ndio tatizo! Hayupo kwenye Hans wala Beaty..tunashindwa kuamini


