Hi wanajamii,msaada kwa hili jamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hi wanajamii,msaada kwa hili jamani

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by pimbi, Mar 24, 2011.

 1. p

  pimbi Member

  #1
  Mar 24, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naomba ushauri kwa hili wana jamii.
  nina urafiki wa kimapenzi na msichana ambao umeduma takribani miaka 5 sasa,
  lkn kulitokea matatizo ya mm kutokubalika upande wa mama yake haswa baada ya kupata taharifa ambazo si za kweli,msichana alijaribu kumweleza ukweli lkn ajakubaliana nayo.lkn ktka kipindi cha hivi karibuni naona mahusiano yetu ya mawasiliano yanapungua kwa kisingizio cha kubanwa na kazi au kukosa salio kwny simu,ingawa nikimtumia salio ananipigia japo si kama zamani,na nikimwambia anieleze hatma ya yote sipati jibu na wala aniambii kama anataka mahusiano yetu tusitishe kwa faida kwake majonzi kwangu,kwa upande wangu nashindwa kuamua kwa sbbu nampenda na namwitaji aje awe mke wangu,je nifanye nn katika hili na umri wangu unayoyoma sasa.Msaada plz
   
 2. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #2
  Mar 24, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  pole sana,gangamala hapo hapo huyo dada anachohitaji ni assurance kutoka kwako kuna unampenda,ukiinsist unampenda atajenga imani na wewe na kuwa upande wako.
   
 3. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #3
  Mar 24, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Nachoweza kukwambia huyo msichana hana maamuzi yake binafsi uwe na mtu miaka 5 halafu eti mama kasikia mambo ambayo yeye na wewe mnafahamu si ya kweli na yeye anaanza kukuacha kidogokidogo??? Napata wasiwasi hapo. Halafu na nyie nao mnaviherehere mno mpaka huyo mama akasikie maneno inahuuuu??? Mapenzi ni ya wawili mkishaingiza watatu, wanne, watano sita ndo madhara yake hayo

  Pole kuwa kama mwanaume muulize huyo msichana nini kinaendelea akileta jeuri ya mama kasema kimepanda kimeshuka piga chini anza maisha mengine kwani ye nani bana?? Utaumia lakini huna jinsi
   
 4. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #4
  Mar 24, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,167
  Likes Received: 1,172
  Trophy Points: 280
  Sumu ya mamake imemkolea, inaonekana huyo mwanamke hana msimamo, pamoja na pingamizi la mamake, kama angekuwa na upendo wa dhati mgenia mamoja. Huyo naona anaweza kurejea au ukampoteza nikulingana na utakavo cheza kete zako(swali: umri wako kuyoyoma unaweza kukufanya uingie kwny ndoa na mwanamke yeyote? )
   
 5. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #5
  Mar 24, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Pole pimbi inaonekana huyo dada anamsikiliza sana mama yake, wamama huwa tunawaharibia future sana watoto wetu sasa wewe na yeye ndio mtakaoishi pamoja wao ni nini kinawafanya wawachimbe? au wewe unaoneekana kicheche au una historia gani imemfanya huyu mama aje juu hivo? embu elezea kidogo ili tujue sio kumlaumu mama tu
   
 6. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #6
  Mar 24, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  ehh pole
  mpe mda atarud
  bt usichoke kumpa maneno aelewe na atoe dukuduku lake
   
 7. marshal

  marshal JF-Expert Member

  #7
  Mar 24, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 350
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Let me tell you one thing " Women are more fighters than men when they Truly Love"'
  Katika uelewa wangu na faham zangu, Mwanamke akipenda yupo tayari kufa kwa ajili ya upendo. ukiona yupo nija panda ujue pengine ni mtu anae ku "appreciate' tu kama moja ya watu muhim kwenye maisha yake but she can easily forget about you!!
  Mahusiano yakishavuka miaka 2 ni dhahiri kabisa kutakuwa na dalili ya nyie kukubaliana na kuwa na mtimazo wa maisha unaoshabihiana.
  Kama imetokea sasa hivi haonyeshi dalili ya kuwa na wewe kuna vitu vichache ambavyo naweza kukwambia!!

  1. Wanawake asilimia chini ya 30% huwa wanaolewa na wanaume ambao wanawapenda no matter level ya upendo wa mwanaume( woman' love>= man' love"
  2. Wanawake zaidi ya asilimia 50" wanaolewa kwa sababu ya maisha na kusema ukweli wanawapenda watu wengine lakini kwa sababu ya uwezo wa kipato cha mwanaume anaependwa huwa wanaachwa na mwanamke kwenda kwa mtu mwenye kipato cha Hali ya afadahli ama juu.
  3. Idadi iliyobaki ambayo ni cahini ya asilimia 20% ni coincidence, mwanaume anataka kuo na mwanamke anataka kuolewa na bila kujali mapenzi ama kipato watu wanaingia kwenye ndoa.
  4. kikubwa zaidi ya chote mara nyingi wanaume wanaoa wanawake wanaowapenda, Mara nyingi pia wanaume hawaangalii upendo kama wanawake wanavyoangalia rather wanaangalia Heshima nidhamu na adabu.Hizo ni criteria za Mwanaume  Kutokana na hayo niliyosema hapo juu,
  1. Mwanamke wako yupo influenced na mama yake na ki ukweli mama yake ana nafasi kubwa saana ktk maamuzi yake kama wewe sio namba 1 moyoni mwake
  2. Usilazimishe maisha,angalia athatri za wewe kulazimisha kupendwa na kufunga ndoa pengine makubwa zaidi ya hili yanaweza tokea
  3.Mpe nafasi ya mwisho kwan kama unavyodai umri wako unagomba ikishindikana, U can live your life. Just kama ambavyo watu hupotelewa na wapenzi wao na taratibu maisha huanza kuzoeleka bila ya wapendwa wao kuwepo( mfano kufiwa n.k)

  Nakutakia maamuzi na maisha Mema kwa huyo ama mwengine ajae!!
  Yote kheri na wote mlizaliwa, So kama ankuona hufai wengine wanakusubiri kwa hamu, take your time and head your destiny
   
 8. Dinnah

  Dinnah JF-Expert Member

  #8
  Mar 24, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Umesema yote mkuu big up natumaini hii post itampa mwanga huyu kijana
   
Loading...