Hi tumfanyeje huyu kikwete na wenzake, sisi kama wanchi?

Mganya

New Member
Jan 14, 2011
2
0
Jamani ndugu zangu watanzania, naomba sisi wenyewe tuamue, tutoa maamu ya msingi ya namna ya kumfanya huyu raisi kikwete aliyetufikisha hapa tulipo, nyie kama watanzania mnaoona athali za mambo yanayotokea na kuumia na hali ya maisha mnadhani tumfanyeje?
 
Back
Top Bottom